Hesabu 15:19 - Swahili Revised Union Version19 ndipo itakapokuwa ya kwamba kila mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsogezea BWANA sadaka ya kuinuliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 kila mtakapokula mazao ya nchi hiyo, mtatenga kiasi fulani na kunipa mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kuwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 nanyi mkala chakula cha nchi hiyo, toeni sehemu ya chakula hicho kama sadaka kwa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 ndipo itakapokuwa ya kwamba kila mtakapokula katika chakula cha nchi hiyo, mtamsogezea BWANA sadaka ya kuinuliwa. Tazama sura |