Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 13:18 - Swahili Revised Union Version

18 mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kama ni wenye nguvu au dhaifu, kama ni wengi au wachache;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu wanaoishi humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu waishio humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kama ni wenye nguvu au dhaifu, kama ni wengi au wachache;

Tazama sura Nakili

Hesabu 13:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

nami nimeshuka ili niwaokoe kutoka kwa mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hadi nchi njema, kisha pana; nchi itiririkayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.

Nami nitawalisha malisho mema, pa juu ya milima ya mahali palipoinuka pa Israeli litakuwa zizi lao; huko watalala katika zizi jema; nao watakula malisho mema, juu ya milima ya Israeli.

Musa akawatuma ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negebu mkapande milimani,

na nchi wanayoikaa kama ni nzuri au mbaya na kama wanakaa katika kambi au katika ngome;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo