Hesabu 11:27 - Swahili Revised Union Version27 Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kijana mmoja alitoka mbio na kumwambia Mose, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Mwanaume mmoja kijana alikimbia na kumwambia Musa, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Mwanaume mmoja kijana alikimbia na kumwambia Musa, “Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini. Tazama sura |