Hesabu 11:19 - Swahili Revised Union Version19 Hamtakula siku moja, wala siku mbili, wala siku tano, wala siku kumi, wala siku ishirini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtakula nyama si kwa muda wa siku moja tu, au mbili, au tano, au kumi au ishirini, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hamtaila kwa siku moja tu, au siku mbili, au tano, kumi au siku ishirini, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hamtaila kwa siku moja tu, au siku mbili, au tano, kumi au siku ishirini, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Hamtakula siku moja, wala siku mbili, wala siku tano, wala siku kumi, wala siku ishirini; Tazama sura |