Hesabu 11:10 - Swahili Revised Union Version10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mose alisikia watu wakilia katika familia zote, kila mtu penye lango la hema lake. Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka sana; naye Mose alichukizwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Mwenyezi Mungu akakasirika mno, naye Musa akafadhaika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Musa akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. bwana akakasirika mno, naye Musa akafadhaika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika. Tazama sura |