Ezra 8:34 - Swahili Revised Union Version34 vile vyombo vyote kwa hesabu na kwa uzani; tena uzani wake wote uliandikwa wakati ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 vile vyombo vyote kwa hesabu na kwa uzani; tena uzani wake wote uliandikwa wakati ule. Tazama sura |
Na wana wa uhamisho, waliokuwa wametoka katika uhamisho wakamtolea Mungu wa Israeli sadaka za kuteketezwa, ng'ombe kumi na wawili kwa ajili ya Israeli wote, na kondoo dume tisini na sita, na wana-kondoo sabini na saba, na mabeberu kumi na wawili, kuwa sadaka ya dhambi, hao wote pia walikuwa sadaka ya kuteketezwa kwa BWANA.