Ezra 8:27 - Swahili Revised Union Version27 na mabakuli ishirini ya dhahabu, thamani yake darkoni elfu moja; na vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong'aa, thamani yake sawa na dhahabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyongaa yenye thamani kama ya dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyongaa yenye thamani kama ya dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong'aa yenye thamani kama ya dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu. Tazama sura |