Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ezra 7:20 - Swahili Revised Union Version

20 Na chochote kitakachohitajiwa zaidi, kwa ajili ya nyumba ya Mungu wako, kitakachokupasa kukitoa, kitoe katika nyumba ya hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Ukihitaji kitu kingine chochote kwa ajili ya nyumba ya Mungu wako unaweza kukipata kutoka katika hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Ukihitaji kitu kingine chochote kwa ajili ya nyumba ya Mungu wako unaweza kukipata kutoka katika hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Ukihitaji kitu kingine chochote kwa ajili ya nyumba ya Mungu wako unaweza kukipata kutoka katika hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kitu kingine chochote kinachohitajika kwa ajili ya Hekalu la Mungu wenu ambacho unatakiwa kukitoa, unaweza kukitoa kutoka hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kitu kingine chochote kinachohitajika kwa ajili ya Hekalu la Mungu wenu ambacho unatakiwa kukitoa, waweza kukitoa kutoka hazina ya mfalme.

Tazama sura Nakili




Ezra 7:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme.


Na vile vyombo upewavyo kwa huduma ya nyumba ya Mungu wako, virejeshe mbele za Mungu wa Yerusalemu.


Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo