Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ezra 5:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ndipo wakawauliza hivi, Majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni gani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ndipo wakawauliza hivi, Majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?

Tazama sura Nakili

Ezra 5:4
2 Marejeleo ya Msalaba  

Tukawauliza pia majina yao, ili kukuhakikishia, tupate kuandika majina ya watu waliokuwa wakubwa wao.

Basi Bezaleli na Oholiabu watatenda kazi, na kila mtu mwenye moyo wa hekima, ambaye BWANA amemtia akili na hekima ili ajue kufanya kazi hiyo yote kwa huo utumishi wa mahali patakatifu, kama hayo yote BWANA aliyoyaagiza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo