Ezra 4:18 - Swahili Revised Union Version18 Ule barua mliotutumia umesomwa wazi mbele yangu, nami nikaielewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 “Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 “Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 “Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Barua mliyotutumia imesomwa na kutafsiriwa mbele yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Barua mliyotutumia imesomwa na kutafsiriwa mbele yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Ule waraka mliotutumia umesomwa wazi mbele yangu, nami nikauelewa. Tazama sura |