Ezra 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Amka uchukue hatua, sisi tutakuunga mkono. Kwa hiyo jipe moyo ufanye hivyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Amka uchukue hatua, sisi tutakuunga mkono. Kwa hiyo jipe moyo ufanye hivyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Amka uchukue hatua, sisi tutakuunga mkono. Kwa hiyo jipe moyo ufanye hivyo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Inuka, suala hili lipo mikononi mwako. Sisi tutaungana nawe, uwe na ujasiri ukatende hili.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Inuka, suala hili lipo mikononi mwako. Sisi tutaungana nawe, uwe na ujasiri ukatende hili.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende. Tazama sura |