Esta 7:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi mfalme na Hamani walikwenda kula karamu pamoja na malkia Esta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Basi mfalme na Hamani wakaenda kula chakula pamoja na Malkia Esta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Basi mfalme na Hamani wakaenda kula chakula pamoja na Malkia Esta. Tazama sura |