Esta 2:10 - Swahili Revised Union Version10 Naye Esta hakudhihirisha kabila yake wala jamaa yake, kwa maana ndivyo alivyomwagiza Mordekai asiwadhihirishe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Esta alikuwa hajajitambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekai alikuwa amemwonya asifanye hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Esta alikuwa hajajitambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekai alikuwa amemwonya asifanye hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Esta alikuwa hajajitambulisha ukoo wala kabila lake, maana Mordekai alikuwa amemwonya asifanye hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Esta alikuwa hajadhihirisha uraia wake na asili yake, kwa sababu Mordekai alikuwa amemkataza kufanya hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Esta alikuwa hajadhihirisha uraia wala kabila lake, kwa sababu Mordekai alikuwa amemkataza. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193710 Lakini Esteri kakuujulisha ukoo wake wala mlango wake, kwa kuwa Mordekai alimkataza, asiujulishe. Tazama sura |
Basi Hamani akamwambia mfalme Ahasuero, Kuna watu wa taifa moja waliotawanyika na kukaa kila mahali katikati ya watu wa mataifa walioko katika mikoa yote ya ufalme wako. Nao sheria zao zimetofautiana na sheria za kila taifa; wala hawazishiki amri za mfalme; kwa hiyo haimpasi mfalme kuchukuliana nao.