Esta 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Baada ya hayo, hasira yake mfalme Ahasuero ilipotulia, alimkumbuka Vashti, na vile alivyotenda, na yale yaliyoamriwa juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baadaye, wakati hasira ya Mfalme Ahasuero ilikuwa imetulia, alimkumbuka Vashti na kile alichokuwa amekifanya, na alilokuwa ameamuru juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baadaye, wakati hasira ya Mfalme Ahasuero ilikuwa imetulia, alimkumbuka Vashti na kile alichokuwa amekifanya na alilokuwa ameamuru juu yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19371 Baada ya mambo hayo, makali ya mfalme Ahaswerosi yalipotulia, akamkumbuka Wasti nayo, aliyoyafanya, nalo shauri, alilokatiwa. Tazama sura |