Esta 10:1 - Swahili Revised Union Version1 Basi mfalme Ahasuero alitoza kodi katika nchi na katika visiwa vya bahari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mfalme Ahasuero alitoza ushuru katika himaya yake yote, hadi miambao yake ya mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mfalme Ahasuero alitoza ushuru katika ufalme wake wote hadi kwenye miambao yake ya mbali. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19371 Mfalme Ahaswerosi akatoza kodi katika hiyo nchi, hata katika visiwa vya baharini. Tazama sura |
Basi, waandishi wa mfalme wakaitwa pale pale, siku ya ishirini na tatu ya mwezi wa tatu, ndio mwezi wa Siwani; na kama vile Mordekai alivyoamuru, Wayahudi wakaandikiwa, pamoja na wakuu wa tarafa na wakuu wa mikoa kuanzia Bara Hindi mpaka Kushi, mikoa mia moja na ishirini na saba, kila mkoa kwa mwandiko wake, na kila taifa kwa lugha yake; na Wayahudi kwa mwandiko wao na kwa lugha yao.