Esta 1:7 - Swahili Revised Union Version7 Wakawanywesha kileo katika vyombo mbalimbali vya dhahabu, na divai tele ya kifalme, kufuatana na ukarimu wa ufalme; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya dhahabu, naye mfalme alikuwa mkarimu sana wa divai ya kifalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya dhahabu, naye mfalme alikuwa mkarimu sana wa divai ya kifalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Watu walipewa vinywaji katika vikombe mbalimbali vya dhahabu, naye mfalme alikuwa mkarimu sana wa divai ya kifalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Vyombo vya dhahabu vilitumika kwa watu kunywea mvinyo, kila kimoja tofauti na kingine, naye mfalme akatoa mvinyo kwa wingi kwa kadiri ya ukarimu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Vyombo vya dhahabu vilitumika kwa watu kunywea mvinyo, kila kimoja tofauti na kingine, naye mfalme akatoa mvinyo kwa wingi kwa kadiri ya ukarimu wake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19377 Vyombo, watu walivyovipata vya kunywea, vilikuwa vya dhahabu; hivyo vyombo navyo vilipitanapitana kwa namna zao, nazo mvinyo za kifalme zilikuwa nyingi, kama inavyoupasa utu wa mfalme. Tazama sura |