Danieli 9:22 - Swahili Revised Union Version22 Akaniagiza, akaongea nami, akasema, Ee Danieli, nimetokea sasa, ili nikupe akili upate kufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Basi, akaniambia, ‘Danieli, nimekuja kukupa hekima na uwezo wa kufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Basi, akaniambia, ‘Danieli, nimekuja kukupa hekima na uwezo wa kufahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Basi, akaniambia, ‘Danieli, nimekuja kukupa hekima na uwezo wa kufahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Akanielimisha na kuniambia, “Danieli, sasa nimekuja kukupa akili na ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Akanielimisha na kuniambia, “Danieli, sasa nimekuja kukupa akili na ufahamu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193722 Akanifundisha akisema na mimi kwamba: Danieli, sasa nimetokea kukupatia akili zenye utambuzi. Tazama sura |