Danieli 9:13 - Swahili Revised Union Version13 Kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Musa, mabaya haya yote yametupata lakini hata hivyo hatukumwomba BWANA, Mungu wetu, atupe fadhili zake, ili tugeuke na kuyaacha maovu yetu, na kuitambua kweli yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Umetuadhibu kama ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, lakini mpaka sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hatukuomba msamaha wako kwa kuziacha dhambi zetu na kutafakari uaminifu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Umetuadhibu kama ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, lakini mpaka sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hatukuomba msamaha wako kwa kuziacha dhambi zetu na kutafakari uaminifu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Umetuadhibu kama ilivyoandikwa katika sheria ya Mose, lakini mpaka sasa, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hatukuomba msamaha wako kwa kuziacha dhambi zetu na kutafakari uaminifu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kama vile ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, misiba hii yote imekuja juu yetu, lakini hatujaomba fadhili za Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, kwa kuacha kutenda dhambi na kuisikiliza kweli yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kama vile ilivyoandikwa katika Torati ya Musa, misiba hii yote imekuja juu yetu, lakini hatujaomba fadhili kwa bwana Mwenyezi Mungu wetu kwa kugeuka kutoka dhambi zetu na kuwa wasikivu katika kweli yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193713 Vikawa, kama vilivyoandikwa katika Maonyo ya Mose; hicho kibaya chote kikatujia, lakini sisi hatukujipendekeza usoni pa Bwana Mungu wetu tukiyaacha maovu, tuliyoyafanya, tujipatie kwako utambuzi wa kweli. Tazama sura |