Danieli 8:9 - Swahili Revised Union Version9 Na katika moja ya pembe hizo ilitokea pembe ndogo, iliyokua sana, upande wa kusini, na upande wa magharibi, na upande wa nchi ya uzuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Katika mojawapo ya pembe hizo nne, paliota upembe mwingine mdogo, ukakua sana kuelekea upande wa kusini-mashariki, na kuelekea nchi ile nzuri mno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Katika mojawapo ya pembe hizo nne, paliota upembe mwingine mdogo, ukakua sana kuelekea upande wa kusini-mashariki, na kuelekea nchi ile nzuri mno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Katika mojawapo ya pembe hizo nne, paliota upembe mwingine mdogo, ukakua sana kuelekea upande wa kusini-mashariki, na kuelekea nchi ile nzuri mno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kutoka mojawapo ya zile pembe nne palitokea pembe ndogo, nayo ikaongezeka nguvu kuelekea kusini, na mashariki, na Nchi ya Kupendeza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kutoka mojawapo ya zile pembe nne palitokea pembe ndogo ukaongezeka nguvu kuelekea kusini, na kuelekea mashariki, na kuelekea Nchi ya Kupendeza. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19379 Kwao hizo katika moja ikatoka pembe moja ndogo, ikakua sanasana, ikaelekea upande wa kusini na wa maawioni kwa jua na wa ile nchi yenye utukufu. Tazama sura |