Danieli 8:20 - Swahili Revised Union Version20 Yule kondoo dume uliyemwona, mwenye pembe mbili, hizo ndizo wafalme wa Umedi na Uajemi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 “ ‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 “ ‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 “‘Yule kondoo dume uliyemwona mwenye pembe mbili, ni wafalme wa Media na Persia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye ulimwona anawakilisha wafalme wa Umedi na Uajemi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye ulimwona anawakilisha wafalme wa Umedi na Uajemi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193720 Dume la kondoo, uliyemwona mwenye pembe mbili, ndio wafalme wa Wamedi na wa Wapersia. Tazama sura |