Danieli 8:16 - Swahili Revised Union Version16 Nikasikia sauti ya mwanadamu katikati ya mto Ulai, iliyoita na kusema, Gabrieli, mfahamishe mtu huyu maono haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Nikasikia sauti ya mwanaadamu kutoka katika mto Ulai ikiita, ‘Gabrieli, mweleze mtu huyu maana ya maono aliyoona.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Nikasikia sauti ya mwanaadamu kutoka katika mto Ulai ikiita, ‘Gabrieli, mweleze mtu huyu maana ya maono aliyoona.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Nikasikia sauti ya mwanaadamu kutoka katika mto Ulai ikiita, ‘Gabrieli, mweleze mtu huyu maana ya maono aliyoona.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kisha nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka Mto Ulai ikiita, “Jibraili, mwambie mtu huyu maana ya maono haya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kisha nikasikia sauti ya mwanadamu kutoka Mto Ulai ikiita, “Jibraili, mwambie mtu huyu maana ya maono haya.” Tazama suraSwahili Roehl Bible 193716 Nikasikia sauti ya mtu iliyotoka katika mto wa Ulai, ikaita kwamba: Gaburieli, mtambulishe mtu huyu aliyoyaona! Tazama sura |