Danieli 7:2 - Swahili Revised Union Version2 Danieli akanena, akisema, Niliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Mimi Danieli niliona katika maono usiku, pepo nne toka pande zote za mbinguni zikiichafua bahari kuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwa na pepo kutoka pande nne za mbingu, zikivuruga bahari kuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Danieli akasema: “Katika maono yangu usiku nilitazama, na hapo mbele yangu kulikuwepo na upepo kutoka pande nne za mbingu, ukivuruga bahari kuu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19372 Basi, Danieli akayasimulia kwamba: Katika ndoto ya usiku nilikuwa nikitazama, mara nikaziona pepo nne za mbinguni zilivyoitokea Bahari Kubwa kwa nguvu. Tazama sura |
Baadaye nikaona katika njozi ya usiku, na tazama, mnyama wa nne, mwenye kutisha, mwenye nguvu, mwenye uwezo mwingi, naye alikuwa na meno ya chuma, makubwa sana; alikula na kuvunja vipande vipande, na kuyakanyaga mabaki kwa miguu yake; na umbo lake lilikuwa mbali kabisa na wale wa kwanza, naye alikuwa na pembe kumi.