Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 6:9 - Swahili Revised Union Version

9 Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

9 Kwa sababu hiyo mfalme Dario akaiandika amri hiyo ya kutisha watu kwa ukali.

Tazama sura Nakili




Danieli 6:9
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi mfalme akiona vema, na itoke kwake amri ya kifalme, nayo iandikwe katika sheria za Waajemi na Wamedi isitanguke, ya kwamba Vashti asifike tena mbele ya mfalme Ahasuero; na umalkia wake mfalme ampe mwingine aliye mwema kuliko yeye.


Ni heri kumkimbilia BWANA. Kuliko kuwatumainia wakuu.


Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.


Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,


Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo