Danieli 6:1 - Swahili Revised Union Version1 Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme wakuu mia moja na ishirini, wawe juu ya ufalme wote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ilimpendeza Dario kuteua wakuu mia moja na ishirini kutawala katika ufalme wake wote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote, Tazama suraSwahili Roehl Bible 19371 Kwa mapenzi yake Dario akaweka watawala nchi 120 wa kuuangalia ufalme, wakiwa po pote katika huo ufalme. Tazama sura |