Danieli 5:6 - Swahili Revised Union Version6 Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, mfalme akabadilika rangi na fikira zake zikamfadhaisha, viungo vyake vikalegea na magoti yakaanza kutetemeka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19376 Ndipo, uso wake mfalme ulipokuwa mwingine, mawazo yake yakamstusha, maungo ya viuno vyake yakalegea, nayo magoti yake yakagonganagongana. Tazama sura |