Danieli 5:22 - Swahili Revised Union Version22 Na wewe, mwanawe, Ee Belshaza, hukujinyenyekeza moyo wako, ijapokuwa ulijua hayo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Lakini wewe Belshaza, mwanawe, ingawa unayajua haya yote, hukujinyenyekeza! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Lakini wewe Belshaza, mwanawe, ingawa unayajua haya yote, hukujinyenyekeza! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Lakini wewe Belshaza, mwanawe, ingawa unayajua haya yote, hukujinyenyekeza! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 “Lakini wewe mwanawe, ee Belshaza, hukujinyenyekeza, ingawa ulifahamu haya yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 “Lakini wewe mwanawe, ee Belshaza, hukujinyenyekeza, ingawa ulifahamu haya yote. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193722 Nawe Belsasari u mwanawe, lakini hukuunyenyekeza moyo wako, ingawa uliyajua hayo yote. Tazama sura |