Danieli 4:10 - Swahili Revised Union Version10 Njozi za kichwa changu kitandani mwangu zilikuwa hivi; niliona, na tazama, palikuwa na mti katikati ya nchi, urefu wake mkubwa sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Nilipokuwa nimelala, niliona maono haya: Niliona mti mrefu sana katikati ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Nilipokuwa nimelala, niliona maono haya: Niliona mti mrefu sana katikati ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Nilipokuwa nimelala, niliona maono haya: Niliona mti mrefu sana katikati ya dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Haya ndio maono niliyoona nilipokuwa nimelala kitandani mwangu: Nilitazama, na mbele yangu ulisimama mti katikati ya nchi. Ulikuwa mrefu sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Haya ndiyo maono niliyoona nilipokuwa nimelala kitandani mwangu: Nilitazama, na mbele yangu ulisimama mti katikati ya nchi. Ulikuwa mrefu sana. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193710 Maono niliyoyaona kwa macho yangu, nilipolala kitandani, ni haya: nilikuwa nikitazama, mara nikaona mti katika nchi, uliokuwa mrefu sana kwa kimo chake. Tazama sura |