Danieli 3:23 - Swahili Revised Union Version23 Na watu hao watatu, Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakaanguka, wakiwa wamefungwa, katikati ya lile tanuri lililokuwa linawaka moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Ndipo Shadraki, Meshaki na Abednego, wakiwa wamefungwa, wakatumbukia katika ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Ndipo Shadraki, Meshaki na Abednego, wakiwa wamefungwa, wakatumbukia katika ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Ndipo Shadraki, Meshaki na Abednego, wakiwa wamefungwa, wakatumbukia katika ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Watu hawa watatu walianguka ndani ya tanuru hilo la moto wakiwa wamefungwa kwa uthabiti sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Watu hawa watatu walianguka ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamefungwa kwa uthabiti sana. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193723 Lakini wale waume watatu, Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego, wakaanguka ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamefungwa. Tazama sura |