Danieli 3:21 - Swahili Revised Union Version21 Basi watu hao wakafungwa, wakiwa wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na majoho yao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya lile tanuri lililokuwa likiwaka moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Hivyo watu hawa walifungwa na kutupwa ndani ya tanuru hilo wakiwa wamevaa majoho yao, suruali, vilemba, na nguo zao nyingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Hivyo watu hawa, walifungwa na kutupwa ndani ya tanuru iwakayo moto wakiwa wamevaa majoho yao, suruali, vilemba na nguo zao nyingine. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193721 Kwa hiyo watu hawa wakafungwa pamoja na fulana zao na kanzu zao na shati zao na mavazi yao mengine, wakatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto. Tazama sura |