Danieli 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme, Ee Nebukadneza, hamna haja kukujibu katika neno hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193716 Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego wakajibu, wakamwambia mfalme: Nebukadinesari, kwetu sisi ni kazi bure kukujibu neno moja tu. Tazama sura |