Danieli 3:13 - Swahili Revised Union Version13 Basi Nebukadneza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mfalme Nebukadneza, akiwa amekasirika na mwenye ghadhabu kali, akawaita Shadraki, Meshaki na Abednego. Hivyo watu hawa wakaletwa mbele ya mfalme, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mfalme Nebukadneza, akiwa amekasirika na mwenye ghadhabu kali, akawaita Shadraki, Meshaki na Abednego. Hivyo watu hawa wakaletwa mbele ya mfalme, Tazama suraSwahili Roehl Bible 193713 Ndipo, Nebukadinesari alipokasirika na kuchafuka sana, akaagiza kuwaleta akina Sadiraki na Mesaki na Abedi-Nego, kisha waume hawa wakapelekwa kwake mfalme. Tazama sura |