Danieli 3:11 - Swahili Revised Union Version11 na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuri liwakalo moto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 na kwamba yeyote ambaye hatasujudu na kuiabudu atatupwa saa hiyo hiyo ndani ya tanuru linalowaka moto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 na kwamba yeyote ambaye hataanguka chini na kuiabudu atatupwa saa iyo hiyo ndani ya tanuru iwakayo moto. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193711 Kila mtu atakayekataa kuanguka na kukisujudia atatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto. Tazama sura |
Mawaziri wote wa ufalme, na wasimamizi, na viongozi, na washauri, na watawala wamefanya shauri pamoja ili kuweka amri ya kifalme; na kupiga marufuku, ya kwamba mtu yeyote atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, Ee mfalme atatupwa katika tundu la simba.