Danieli 2:27 - Swahili Revised Union Version27 Danieli akajibu mbele ya mfalme, akasema, Ile siri aliyoiuliza mfalme, wenye hekima hawawezi kumfunulia mfalme; wala wachawi, wala waganga, wala wanajimu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Danieli akamjibu mfalme, “Hakuna wenye hekima, wachawi, waganga wala wanajimu wanaoweza kukujulisha fumbo hilo lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Danieli akamjibu mfalme, “Hakuna wenye hekima, wachawi, waganga wala wanajimu wanaoweza kukujulisha fumbo hilo lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Danieli akamjibu mfalme, “Hakuna wenye hekima, wachawi, waganga wala wanajimu wanaoweza kukujulisha fumbo hilo lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Danieli akajibu, “Hakuna mwenye hekima, msihiri, mganga au mwaguzi anayeweza kumweleza mfalme siri aliyouliza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Danieli akajibu, “Hakuna mwenye hekima, msihiri, mganga au mwaguzi anayeweza kumweleza mfalme siri aliyouliza, Tazama suraSwahili Roehl Bible 193727 Danieli akajibu masikioni pa mfalme, akasema: Fumbo, mfalme analolitaka, hakuna wajuzi wala waaguaji wala waandishi wala wachunguza nyota wanaoweza kumweleza mfalme maana yake. Tazama sura |