Danieli 2:20 - Swahili Revised Union Version20 Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 akasema, “Na litukuzwe milele na milele jina lake Mungu. Hekima na nguvu ni vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 na akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193720 Hivi ndivyo, Danieli alivyosema: Jina lake Mungu litukuzwe kale na kale! Kwani yeye ni mwenye ujuzi na uwezo! Tazama sura |