Danieli 12:6 - Swahili Revised Union Version6 Na mmoja akamwuliza yule mtu aliyevikwa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, Je! Itakuwa muda wa miaka mingapi hata mwisho wa mambo haya ya ajabu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nikamwuliza yule aliyesimama upande wa juu wa mto, amevaa mavazi ya kitani, mambo haya ya kutisha yatadumu mpaka lini ndipo yaishe? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nikamwuliza yule aliyesimama upande wa juu wa mto, amevaa mavazi ya kitani, mambo haya ya kutisha yatadumu mpaka lini ndipo yaishe? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nikamwuliza yule aliyesimama upande wa juu wa mto, amevaa mavazi ya kitani, mambo haya ya kutisha yatadumu mpaka lini ndipo yaishe? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mmoja wao akamwambia yule mtu aliyevaa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, “Je, itachukua muda gani kabla mambo haya ya kushangaza hayajatimizwa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mmoja wao akasema na yule mtu aliyevaa nguo za kitani, aliyekuwa juu ya maji ya mto, “Je, itachukua muda gani kabla mambo haya ya kushangaza hayajatimizwa?” Tazama suraSwahili Roehl Bible 19376 Mmoja akamwuliza yule mume aliyevaa nguo nyeupe ya ukonge aliyesimama juu ya maji ya hilo jito: Itakuwa mpaka lini, mwisho wa maajabu hayo utakapotimia? Tazama sura |