Danieli 11:28 - Swahili Revised Union Version28 Ndipo atakaporudi mpaka nchi yake mwenye utajiri mwingi; na moyo wake utakuwa kinyume cha hilo agano takatifu; naye atafanya kama apendavyo, na kurudi mpaka nchi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mfalme wa kaskazini atarudi nchini mwake akiwa na mali nyingi, lakini nia yake moyoni ni kulitangua agano takatifu. Atafanya apendavyo, kisha atarudi katika nchi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mfalme wa kaskazini atarudi nchini mwake akiwa na mali nyingi, lakini nia yake moyoni ni kulitangua agano takatifu. Atafanya apendavyo, kisha atarudi katika nchi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mfalme wa kaskazini atarudi nchini mwake akiwa na mali nyingi, lakini nia yake moyoni ni kulitangua agano takatifu. Atafanya apendavyo, kisha atarudi katika nchi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Mfalme wa Kaskazini atarudi katika nchi yake na utajiri mwingi, lakini atakuwa ameukaza moyo wake kinyume cha agano takatifu. Atachukua hatua dhidi ya hilo agano, kisha arudi nchi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Mfalme wa Kaskazini atarudi katika nchi yake na utajiri mwingi, lakini atakuwa ameukaza moyo wake kinyume na agano takatifu. Atachukua hatua dhidi ya hilo agano, kisha atarudi nchi yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193728 Kisha atarudi katika nchi yake na kuchukua mali nyingi, lakini moyo wake utataka kulitengua Agano takatifu, naye atafanya, kisha atarudi katika nchi yake. Tazama sura |