Danieli 11:26 - Swahili Revised Union Version26 Naam, walao sehemu ya chakula chake watavunja jeshi lake na kuliteka mbali na wengi watauwawa kwa kuchinjwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wale wanaokula pamoja naye, ndio watakaomwangamiza. Watamwangamiza na jeshi lake litafagiliwa mbali na wengi watauawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wale wanaokula pamoja naye, ndio watakaomwangamiza. Watamwangamiza na jeshi lake litafagiliwa mbali na wengi watauawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wale wanaokula pamoja naye, ndio watakaomwangamiza. Watamwangamiza na jeshi lake litafagiliwa mbali na wengi watauawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wale wanaokula kutoka meza ya mfalme watajaribu kumwangamiza; jeshi lake litafagiliwa mbali, nao wengi watakufa vitani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wale wanaokula kutoka kwenye ruzuku za mfalme watajaribu kumwangamiza; jeshi lake litafagiliwa mbali, nao wengi watakufa vitani. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193726 ndio wanaokula naye vilaji vyake vya urembo; wao ndio watakaomvunja, vikosi vyake navyo vitatawanyika po pote, wengi wao watakufa kwa kuumizwa. Tazama sura |