Danieli 11:22 - Swahili Revised Union Version22 Na wale wenye silaha mfano wa gharika watagharikishwa mbele yake, na kuvunjika, naam, mkuu wa maagano pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Majeshi pamoja na kuhani wa hekalu, atawafagilia mbali na kuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Majeshi pamoja na kuhani wa hekalu, atawafagilia mbali na kuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Majeshi pamoja na kuhani wa hekalu, atawafagilia mbali na kuwaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ndipo jeshi kubwa litafagiliwa mbele yake; jeshi pamoja na mkuu mmoja wa agano wataangamizwa. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193722 Kisha wale wenye mikono ya nguvu waliokuja kumfurikia watafurikiwa naye na kuvunjwa, vilevile naye mkuu aliyefanya maagano naye. Tazama sura |