Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Danieli 11:14 - Swahili Revised Union Version

14 Na zamani zile watu wengi watasimama ili kumpinga mfalme wa kusini; pia, wenye jeuri miongoni mwa watu wako watajiinua ili kuyathibitisha maono; lakini wataanguka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Wakati huo watu wengi watamwasi mfalme wa kusini. Baadhi ya watu wakatili wa taifa lako Danieli, wataasi ili kutekeleza maono haya, lakini hawatafaulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wakati huo watu wengi watamwasi mfalme wa kusini. Baadhi ya watu wakatili wa taifa lako Danieli, wataasi ili kutekeleza maono haya, lakini hawatafaulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wakati huo watu wengi watamwasi mfalme wa kusini. Baadhi ya watu wakatili wa taifa lako Danieli, wataasi ili kutekeleza maono haya, lakini hawatafaulu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 “Katika nyakati hizo, wengi watainuka dhidi ya mfalme wa Kusini. Watu wenye ghasia miongoni mwa watu wako mwenyewe wataasi ili kutimiza maono, lakini bila mafanikio.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 “Katika nyakati hizo wengi watainuka dhidi ya mfalme wa Kusini. Watu wenye ghasia miongoni mwa watu wako mwenyewe wataasi ili kutimiza maono, lakini bila mafanikio.

Tazama sura Nakili

Swahili Roehl Bible 1937

14 Siku hizo wengi watamwinukia mfalme wa kusini, hata wana wao walio ukoo wako wenye ukorofi watainuka, wayatimize mambo uliyoyaona, lakini watajikwaa, waanguke.

Tazama sura Nakili




Danieli 11:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana mfalme wa kaskazini atarudi, naye atapanga jeshi kubwa kuliko lile la kwanza; naye hakika atakuja mwisho wa zamani zile, yaani, baada ya miaka kadhaa, pamoja na jeshi kubwa na mali nyingi.


Basi mfalme wa kaskazini atakuja, na kufanya kilima, na kuupiga mji wenye maboma; na silaha za kusini hazitaweza kumpinga, wala watu wake wateule, wala hapatakuwa na nguvu za kumpinga.


Maana Mungu ametia mioyoni mwao kufanya shauri lake, na kufanya shauri moja, na kumpa yule mnyama ufalme wao hata maneno ya Mungu yatimizwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo