Danieli 10:15 - Swahili Revised Union Version15 Na alipokwisha kusema nami maneno hayo, nikauelekeza uso wangu chini, nikawa bubu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 “Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kuongea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 “Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kuongea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 “Alipokuwa ananiambia maneno hayo, niliangalia chini bila kuweza kuongea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Alipokuwa akiniambia haya, nilisujudu, uso wangu ukigusa chini, nikawa bubu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Alipokuwa akinielezea haya, nilisujudu uso wangu ukiwa umeelekea chini, nikawa bubu. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193715 Aliponiambia maneno haya, nikauelekeza uso wangu chini, maana sikuweza kusema. Tazama sura |