Danieli 1:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi katika hao walikuwapo baadhi ya wana wa Yuda, Danieli, na Hanania, na Mishaeli, na Azaria. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Miongoni mwa vijana waliochaguliwa walikuwa Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Miongoni mwa vijana waliochaguliwa walikuwa Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Miongoni mwa vijana waliochaguliwa walikuwa Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria, wote wa kabila la Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: nao ni Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19376 Katika hao wana wa Kiyuda walikuwamo Danieli na Hanania na Misaeli na Azaria. Tazama sura |