Danieli 1:21 - Swahili Revised Union Version21 Tena, Danieli huyo akadumu huko hata mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Danieli alidumu katika huduma ya ikulu mpaka mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Danieli alidumu katika huduma ya ikulu mpaka mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Danieli alidumu katika huduma ya ikulu mpaka mwaka wa kwanza wa mfalme Koreshi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Naye Danieli akabaki huko hadi mwaka wa kwanza wa utawala wa Mfalme Koreshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Naye Danieli akabaki huko mpaka mwaka wa kwanza wa utawala wa Mfalme Koreshi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193721 Danieli akawapo hata mwaka wa kwanza wa mfalme Kiro. Tazama sura |