Danieli 1:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, yule mlinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani badala ya chakula cha fahari na divai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, yule mlinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani badala ya chakula cha fahari na divai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, yule mlinzi akawaacha waendelee kula mboga za majani badala ya chakula cha fahari na divai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hivyo mlinzi wao akaondoa chakula chao na divai yao waliopangiwa kula na kunywa, akawapa nafaka na mboga za majani badala yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hivyo mlinzi wao akaondoa chakula chao na divai yao waliopangiwa kula na kunywa, akawapa nafaka na mboga za majani badala yake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193716 Ndipo, mtunza mvinyo alipoviacha vile vilaji vya urembo na mvinyo, walizopewa za kunywa, akawapa maboga tu. Tazama sura |