Amosi 8:1 - Swahili Revised Union Version1 Haya ndiyo aliyonionesha Bwana MUNGU; tazama, kikapu cha matunda ya wakati wa joto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Hili ndilo alilonionesha Bwana Mungu Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Hili ndilo alilonionyesha bwana Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Haya ndiyo aliyonionesha Bwana MUNGU; tazama, kikapu cha matunda ya wakati wa joto. Tazama sura |