Amosi 7:15 - Swahili Revised Union Version15 naye BWANA akanitwaa, katika kufuatana na kundi; BWANA akaniambia, Nenda uwatabirie watu wangu Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mwenyezi-Mungu alinitoa katika kazi yangu hiyo ya uchungaji, akaniamuru nije kuwaambia unabii watu wake wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mwenyezi-Mungu alinitoa katika kazi yangu hiyo ya uchungaji, akaniamuru nije kuwaambia unabii watu wake wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mwenyezi-Mungu alinitoa katika kazi yangu hiyo ya uchungaji, akaniamuru nije kuwaambia unabii watu wake wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini Mwenyezi Mungu akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini bwana akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 naye BWANA akanitwaa, katika kufuatana na kundi; BWANA akaniambia, Nenda uwatabirie watu wangu Israeli. Tazama sura |