Amosi 5:7 - Swahili Revised Union Version7 Ninyi mnaogeuza hukumu kuwa uchungu, na kuiangusha haki chini, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Tahadhari enyi mnaogeuza haki kuwa uchungu, na kuuona uadilifu kuwa kama takataka! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Tahadhari enyi mnaogeuza haki kuwa uchungu, na kuuona uadilifu kuwa kama takataka! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Tahadhari enyi mnaogeuza haki kuwa uchungu, na kuuona uadilifu kuwa kama takataka! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu na kuiangusha haki chini Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu na kuiangusha haki chini Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ninyi mnaogeuza hukumu kuwa uchungu, na kuiangusha haki chini, Tazama sura |