Amosi 5:4 - Swahili Revised Union Version4 Maana BWANA awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hili ndilo bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Maana BWANA awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi; Tazama sura |