Amosi 4:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi kutoka miji miwili mitatu walitangatanga kuendea mji mwingine wapate kunywa maji, wasipate ya kuwatosha; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Watu wa miji miwili, mitatu wakakimbilia mji mwingine, wapate maji, lakini hayakuwatosha. Hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Watu wa miji miwili, mitatu wakakimbilia mji mwingine, wapate maji, lakini hayakuwatosha. Hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Watu wa miji miwili, mitatu wakakimbilia mji mwingine, wapate maji, lakini hayakuwatosha. Hata hivyo hamkunirudia. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Watu walitangatanga mji hata mji kutafuta maji, lakini hawakupata ya kuwatosha kunywa, hata hivyo hamjanirudia mimi,” asema Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Watu walitangatanga mji hata mji kutafuta maji, lakini hawakupata ya kuwatosha kunywa, hata hivyo hamjanirudia mimi,” asema bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi kutoka miji miwili mitatu walitangatanga kuelekea mji mwingine wapate kunywa maji, wala hawakupata ya kuwatosha; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA. Tazama sura |