Amosi 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Je! Tarumbeta itapigwa mjini, watu wasiogope? Mji utapatikana na hali mbaya, asiyoileta BWANA? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Je, baragumu ya vita hulia mjini bila kutia watu hofu? Je, mji hupatwa na janga asilolileta Mungu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Je, baragumu ya vita hulia mjini bila kutia watu hofu? Je, mji hupatwa na janga asilolileta Mungu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Je, baragumu ya vita hulia mjini bila kutia watu hofu? Je, mji hupatwa na janga asilolileta Mungu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, watu hawatetemeki? Mji unapopatwa na maafa, je, si Mwenyezi Mungu amesababisha? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari, watu hawatetemeki? Mji upatwapo na maafa, je, si bwana amesababisha? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Je! Tarumbeta itapigwa mjini, watu wasiogope? Mji utapatikana na hali mbaya, asiyoileta BWANA? Tazama sura |