Amosi 1:4 - Swahili Revised Union Version4 lakini nitatuma moto uingie katika nyumba ya Hazaeli, nao utayateketeza majumba ya Ben-hadadi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, nitaishushia moto ikulu ya mfalme Hazaeli, nao utaziteketeza kabisa ngome za mfalme Ben-hadadi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, nitaishushia moto ikulu ya mfalme Hazaeli, nao utaziteketeza kabisa ngome za mfalme Ben-hadadi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, nitaishushia moto ikulu ya mfalme Hazaeli, nao utaziteketeza kabisa ngome za mfalme Ben-hadadi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 lakini nitatuma moto uingie katika nyumba ya Hazaeli, nao utayateketeza majumba ya Ben-hadadi. Tazama sura |